Ufu. 21:16 Swahili Union Version (SUV)

Na ule mji ni wa mraba, na marefu yake sawasawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi; ulikuwa kama maili elfu na mia tano; marefu yake na mapana yake na kwenda juu kwake ni sawasawa.

Ufu. 21

Ufu. 21:15-21