Ufu. 21:10 Swahili Union Version (SUV)

Akanichukua katika Roho mpaka mlima mkubwa, mrefu, akanionyesha ule mji mtakatifu, Yerusalemu, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mwenyezi Mungu;

Ufu. 21

Ufu. 21:3-17