Ufu. 20:3 Swahili Union Version (SUV)

akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.

Ufu. 20

Ufu. 20:1-7