Ufu. 20:13 Swahili Union Version (SUV)

Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.

Ufu. 20

Ufu. 20:10-15