Ufu. 2:5 Swahili Union Version (SUV)

Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.

Ufu. 2

Ufu. 2:1-14