Ufu. 19:2 Swahili Union Version (SUV)

kwa kuwa hukumu zake ni za kweli na za haki; maana amemhukumu yule kahaba mkuu aliyeiharibu nchi kwa uasherati wake, na kuipatiliza damu ya watumwa wake mkononi mwake.

Ufu. 19

Ufu. 19:1-9