Ufu. 19:17 Swahili Union Version (SUV)

Kisha nikaona malaika mmoja amesimama katika jua; akalia kwa sauti kuu, akiwaambia ndege wote warukao katikati ya mbingu, Njoni mkutane kwa karamu ya Mungu iliyo kuu;

Ufu. 19

Ufu. 19:15-21