Ufu. 19:15 Swahili Union Version (SUV)

Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili awapige mataifa kwa huo. Naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi.

Ufu. 19

Ufu. 19:12-21