Ufu. 19:11 Swahili Union Version (SUV)

Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa-kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita.

Ufu. 19

Ufu. 19:8-12