Ufu. 18:8 Swahili Union Version (SUV)

Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu.

Ufu. 18

Ufu. 18:1-13