Ufu. 18:3 Swahili Union Version (SUV)

kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.

Ufu. 18

Ufu. 18:1-12