Ufu. 18:17 Swahili Union Version (SUV)

kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na kila nahodha na kila aendaye mahali popote kwa matanga, na mabaharia, nao wote watendao kazi baharini, wakasimama mbali;

Ufu. 18

Ufu. 18:11-18