Ufu. 18:10 Swahili Union Version (SUV)

wakisimama mbali kwa hofu ya maumivu yake, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu, Babeli, mji ule ulio na nguvu! Kwa kuwa katika saa moja hukumu yako imekuja.

Ufu. 18

Ufu. 18:3-16