Ufu. 18:1 Swahili Union Version (SUV)

Baada ya hayo naliona malaika mwingine, akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kuu; na nchi ikaangazwa kwa utukufu wake.

Ufu. 18

Ufu. 18:1-10