Ufu. 17:7 Swahili Union Version (SUV)

Na yule malaika akaniambia, Kwani kustaajabu? Nitakuambia siri ya mwanamke huyu, na ya mnyama huyu amchukuaye, mwenye vile vichwa saba na zile pembe kumi.

Ufu. 17

Ufu. 17:1-10