Ufu. 17:16 Swahili Union Version (SUV)

Na zile pembe kumi ulizoziona, na huyo mnyama, hao watamchukia yule kahaba, nao watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kabisa kwa moto.

Ufu. 17

Ufu. 17:10-18