Ufu. 17:1 Swahili Union Version (SUV)

Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi;

Ufu. 17

Ufu. 17:1-5