Ufu. 16:2 Swahili Union Version (SUV)

Akaenda huyo wa kwanza, akakimimina kitasa chake juu ya nchi; pakawa na jipu baya, bovu, juu ya wale watu wenye chapa ya huyo mnyama, na wale wenye kuisujudia sanamu yake.

Ufu. 16

Ufu. 16:1-4