Ufu. 15:6 Swahili Union Version (SUV)

na wale malaika saba, wenye mapigo saba, wakatoka katika hekalu, wamevikwa mavazi ya kitani safi, ya kung’aa, wamefungwa vifuani mwao mishipi ya dhahabu.

Ufu. 15

Ufu. 15:1-8