Ufu. 15:1 Swahili Union Version (SUV)

Kisha nikaona ishara nyingine katika mbingu, iliyo kubwa, na ya ajabu; malaika saba wenye mapigo saba ya mwisho; maana katika hayo ghadhabu ya Mungu imetimia.

Ufu. 15

Ufu. 15:1-4