Ufu. 14:6 Swahili Union Version (SUV)

Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,

Ufu. 14

Ufu. 14:5-10