Ufu. 13:4 Swahili Union Version (SUV)

Wakamsujudu yule joka kwa sababu alimpa huyo mnyama uwezo wake; nao wakamsujudu yule mnyama, wakisema, Ni nani afananaye na mnyama huyu? Tena ni nani awezaye kufanya vita naye?

Ufu. 13

Ufu. 13:1-13