Ufu. 13:11 Swahili Union Version (SUV)

Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa Mwana-Kondoo, akanena kama joka.

Ufu. 13

Ufu. 13:10-17