Ufu. 13:1 Swahili Union Version (SUV)

Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.

Ufu. 13

Ufu. 13:1-6