Ufu. 12:4 Swahili Union Version (SUV)

Na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni, na kuziangusha katika nchi. Na yule joka akasimama mbele ya yule mwanamke aliye tayari kuzaa, ili azaapo, amle mtoto wake.

Ufu. 12

Ufu. 12:1-13