Ufu. 12:14 Swahili Union Version (SUV)

Mwanamke yule akapewa mabawa mawili ya tai yule mkubwa, ili aruke, aende zake nyikani hata mahali pake, hapo alishwapo kwa wakati na nyakati na nusu ya wakati, mbali na nyoka huyo.

Ufu. 12

Ufu. 12:5-16