Ufu. 11:10 Swahili Union Version (SUV)

Nao wakaao juu ya nchi wafurahi juu yao na kushangilia. Nao watapelekeana zawadi wao kwa wao, kwa kuwa manabii hao wawili waliwatesa wao wakaao juu ya nchi.

Ufu. 11

Ufu. 11:9-12