Ufu. 10:7 Swahili Union Version (SUV)

isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapokuwa tayari kupiga baragumu; hapo ndipo siri ya Mungu itakapotimizwa, kama alivyowahubiri watumishi wake hao manabii.

Ufu. 10

Ufu. 10:1-11