Ufu. 10:2 Swahili Union Version (SUV)

Na katika mkono wake alikuwa na kitabu kidogo kimefunguliwa. Akaweka mguu wake wa kuume juu ya bahari, nao wa kushoto juu ya nchi.

Ufu. 10

Ufu. 10:1-9