Ufu. 1:17 Swahili Union Version (SUV)

Nami nilipomwona, nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,

Ufu. 1

Ufu. 1:10-20