Ufu. 1:11 Swahili Union Version (SUV)

ikisema, Haya uyaonayo uyaandike katika chuo, ukayapeleke kwa hayo makanisa saba: Efeso, na Smirna, na Pergamo, na Thiatira, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia.

Ufu. 1

Ufu. 1:8-18