Ni kama vile alivyosema katika Hosea,Nitawaita watu wangu wale wasiokuwa watu wangu,Na mpenzi wangu yeye asiyekuwa mpenzi wangu.