Naye Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu upesi.Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]