tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa,Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa,Nami nitaliimbia jina lako.