Rum. 11:34-36 Swahili Union Version (SUV)

34. Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?

35. Au ni nani aliyempa yeye kitu kwanza, naye atalipwa tena?

36. Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake, viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye milele. Amina.

Rum. 11