Rum. 10:20-21 Swahili Union Version (SUV)

20. Na Isaya anao ujasiri mwingi, asema,Nalipatikana nao wasionitafuta,Nalidhihirika kwao wasioniulizia.

21. Lakini kwa Israeli asema, Mchana kutwa naliwanyoshea mikono watu wasiotii na wakaidi.

Rum. 10