Na Isaya anao ujasiri mwingi, asema,Nalipatikana nao wasionitafuta,Nalidhihirika kwao wasioniulizia.