Lakini nasema, Je! Wao hawakusikia? Naam, wamesikia,Sauti yao imeenea duniani mwote,Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.