Heri wale waliouawa kwa upangaKuliko wao waliouawa kwa njaa;Maana hao husinyaa, wakichomwaKwa kukosa matunda ya mashamba.