Maana uovu wa binti ya watu wangu ni mkubwaKuliko dhambi ya Sodoma,Uliopinduliwa kama katika dakika moja,Wala mikono haikuwekwa juu yake.