Mimi ninayalilia mambo hayo;Jicho langu, jicho langu linachuruzika maji;Kwa kuwa mfariji yu mbali nami,Ambaye ilimpasa kunihuisha nafsi;Watoto wangu wameachwa peke yao,Kwa sababu huyo adui ameshinda.