Je! Si kitu kwenu, enyi nyote mpitao njia,Angalieni, mtazameKama kuna majonzi yo yote mfano wa majonzi yangu,Niliyotendwa mimi,Ambayo BWANA amenihuzunisha kwa hayoSiku ya hasira yake iwakayo.