Oba. 1:7 Swahili Union Version (SUV)

Watu wote wa mapatano yakoWamekufukuza, hata mipakani;Wale waliofanya amani naweWamekudanganya, na kukushinda;Walao mkate wako wameweka mtego chini yako;Wala hana ufahamu wa hayo ndani yake.

Oba. 1

Oba. 1:4-9