42. Wana wa Harimu, elfu moja na kumi na saba.
43. Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne.
44. Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arobaini na wanane.
45. Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.
46. Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;