40. Wana wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili.
41. Wana wa Pashuri, elfu moja mia mbili arobaini na saba.
42. Wana wa Harimu, elfu moja na kumi na saba.
43. Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne.
44. Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arobaini na wanane.
45. Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.
46. Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
47. wana wa Kerosi, wana wa Siaha, wana wa Padoni;
48. wana wa Lebana, wana wa Hagaba, wana wa Salmai;
49. wana wa Hanani, wana wa Gideli, wana wa Gahari;
50. wana wa Reaya, wana wa Resini, wana wa Nekoda;