Neh. 7:20-28 Swahili Union Version (SUV)

20. Wana wa Adini, mia sita hamsini na watano.

21. Wana wa Ateri, wa Hezekia, tisini na wanane.

22. Wana wa Hashumu, mia tatu ishirini na wanane.

23. Wana wa Besai, mia tatu ishirini na wanne.

24. Wana wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.

25. Wana wa Gibeoni, tisini na watano.

26. Watu wa Bethlehemu na Netofa, mia na themanini na wanane.

27. Watu wa Anathothi, mia na ishirini na wanane.

28. Watu wa Beth-Azmawethi, arobaini na wawili.

Neh. 7