Neh. 12:22 Swahili Union Version (SUV)

Walawi siku za Eliashibu, na Yoyada, na Yohana, na Yadua, wameandikwa wakuu wa mbari za mababa; tena na makuhani; hata siku za kumiliki kwake Dario, Mwajemi.

Neh. 12

Neh. 12:14-30