Nah. 3:8 Swahili Union Version (SUV)

Je! Wewe u mwema kuliko No-amoni, uliowekwa kati ya mito, uliozungukwa na maji; ambao boma lake lilikuwa bahari, na bahari ilikuwa ukuta wake.

Nah. 3

Nah. 3:5-15