Magari ya vita yanafanya mshindo njiani,Yanasongana-songana katika njia kuu;Kuonekana kwake ni kama mienge,Yanakwenda upesi kama umeme.