Mwa. 9:7-9 Swahili Union Version (SUV)

7. Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni sana katika nchi, mkaongezeke ndani yake.

8. Mungu akamwambia Nuhu, na wanawe pamoja naye, akisema,

9. Mimi, tazama, nalithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu;

Mwa. 9